LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 14, 2017

MAMA JANETH MAGUFULI NA MAMA SHEIN WATEMBELEA VITUO VYA WATOTO YATIMA NA WAZEE ZANZIBAR

 Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamwema Shein wakiwa na baadhi ya watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Mazizini Unguja ambako wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari.




 Mama Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamwema Shein katika kituo cha yatima cha SOS eneo la Mombasa mjini Unguja ambako wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari.
 Mama Janeth Magufuli akiwa na Mama Mwanamwema Shein wakimsalimia Bibi anayelelewa katika kituo cha Wazee eneo la Welezo ambako wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari.
 Mama Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamwema Shein wakisalimia baadhi ya wazee wanaolelewa katika kituo cha Welezo Unguja wakati wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari.
 Mama Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamwema Shein akikabidhio msaada wa vyakula kwa ajili ya wazee wanaolelewa kituo cha Welezo Unguja wakati wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari. 


 Mama Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamwema Shein wakiwa katika kituo cha kulelea Wazee cha Sebleni Unguja wakati wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari.


 Mama Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamwema Shein akitoa misaada katika kituo cha yatima cha wazee cha Sebleni Unguja wakati wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari .

 Mama Janeth Magufuli akiaga baada ya kutembelea katika kituo cha kulelea Wazee cha Sebleni Unguja wakati alipotembelea hapo na kutoa  msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari.



No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages