TAASISI YAUNGA MKONO KAULI YA JPM KUHUSU MIMBA SHULENI

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya James Foundation Leonard Manyama (kulia) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati akitoa tamko la kuunga mkono kauli ya Rais Magufuli kuhusu kutowarejesha shuleni wanafunzi wanaopata ujauzito, kushoto ni Mchungaji Bartholomew  Sheygah toka Kanisa la Faith Community. Picha na Eliphace Marwa - Maelezo