CCM YAIBUKA KIDEDEA MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYANI MWANGA

Matokeo ya uchaguzi mdogo wa vijiji na vitongoji wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro, leo Julai 09, 2017 Kama yaliyovtumwa kwetu na Kada wa CCM, Emmanuel Shilatu


Jumla ya vijiji vilivokuwa vinarudia uchaguzi ni vinne (4)
Vijiji 3 CCM ilipita bila kupingwa
Kijiji cha kambi ya simba
CCM 129 
Chadema 75

Vitongoji vilivyokuwa vina uchaguzi 19
CCM imepita bila kupingwa vitongoji 15

Kitongoji cha Kichangare 
CCM 153
Chadema 57
Kitongoji cha Makuyuni 
CCM 49
Chadema 30
Kitongoji cha Zahanati 
CCM 59
Cdm 32
Kitongoji cha Kivulini 
CCM 70
Chadema 26 

Wajumbe 53 wote wamepita bila kupingwa

KIDUMU CHAMACHA MAPINDUZI