CCM CHALINZE YAFANYA KIKAO CHA MAENDELEO HALMASHAURI YA WILAYA YA CHALINZE

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete wa pili toka kushoto,akiwa katika  kikao cha Maendeleo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani. 
 Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete mwenye miwani  akisalimiana na wana CCM katika picha mbali mbali.