KINANA ASAINI MKATABA UJENZI WA SHULE YA VIONGOZI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Abdulrahman Kinana amekisaini mkataba wa ujenzi shule ya viongozi Mjini Luanda, Angola, Shule hiyo itakayoitwa Julius Nyerere School of Leadership itajengwa Kibaha Mkoani Pwani. Picha kutoka mtandaoni.