LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 10, 2012

KATIBU MKUU WA CCM, NDG W. MUKAMA AHUDHURIA MKUTANO WA KANDA YA AFRIKA KUHUSU UWEZESHAJI WA VYAMA VYA SIASA ULIOFUNGULIWA NA MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, JIJINI DAR LEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania, James Mbatia (katikati) na Katibu Mkuu wa CCM, Willson Mukama, baada ya kufungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Kanda ya Afrika kuhusu Uwezeshaji wa Vyama vya Siasa, ulioanza leo Julai 10, 2012 katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Kanda ya Afrika kuhusu Uwezeshaji wa Vyama vya Siasa, ulioanza leo Julai 10, 2012 katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo mara baada ya kufungua rasmi mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages